Soft Media Technology Tunakuwezesha kusimamia biashara yako kwa urahisi na ufanisi kupitia mifumo yetu ya kidijitali.:
HospitalApp 🩺 Mfumo Mpya wa Kidigitali wa Hospitali!
Tunatambulisha Mfumo wa Hospitali wa Kisasa unaoboresha huduma za afya kwa haraka, usahihi na ufanisi.
💻 Jiunge nasi katika mapinduzi ya teknolojia ya afya — kwa huduma bora, salama na rafiki kwa kila mmoja!
Afya Yako, Kipaumbele Chetu! 🏥
BulkSMS Njia Rahisi na ya Haraka Kufikisha Ujumbe kwa Watu Wengi!
Unahitaji kuwafikia wateja, wanafunzi, au wanachama kwa wakati mmoja? 💬 BulkSMS inakuwezesha kutuma maelfu ya ujumbe kwa sekunde chache tu!
🎯 Tuma matangazo, taarifa muhimu, misimbo ya uthibitisho na mengine mengi kwa ufanisi zaidi. 📱 Fikisha ujumbe kwa usahihi – kwa wakati sahihi – kwa watu sahihi!
BulkSMS – Ujumbe Mmoja, Watu Wengi! 💡
MyTeam Umechoka na mahesabu ya kikundi kwa daftari?
🖥️ Tunakuletea Mfumo wa Kuendesha Kikundi unaorahisisha shughuli zote za kikundi chako kwa njia ya kidigitali.
💼 Unafaa kwa vikundi vya akiba na mikopo (VICOBA), SACCOS, vikundi vya wanawake, vijana, na wafanyakazi. 📊 Fanya uongozi uwe rahisi, uwazi uwe mkubwa, na maendeleo yawe ya haraka!
Mfumo wa Kuendesha Kikundi – Uongozi Bora, Uwazi na Mafanikio Zaidi! 🌟
Biashara Yako, Kidigitali!
Wasiliana nasi: 0659 951 818 / 0686 215 162
Chat with us on WhatsApp