Mfumo maalumu wa kuendesha biashara ya Jumla na Rejareja popote Duniani
Mfumo wetu unafanya yafuatayo ... na zaidi:
Fuatilia shughuli zote za biashara yako kutoka popote ulipo kwa kutumia mfumo wetu wa mtandaoni.
Pata taarifa za mauzo, mapato na mwenendo wa bidhaa moja kwa moja kwenye simu yako.
Simamia matawi yote ya biashara yako kwa urahisi kwa kutumia mfumo mmoja.
Mfumo wetu una interface rahisi na inayoeleweka kwa mtumiaji yeyote
Data yako iko salama na ina backup kila siku
Bei nafuu ikilinganishwa na faida utakayopata
Tunakupa msaada wakati wowote unahitaji
Tsh 450,000
(Inalipwa mara moja tu)
Tsh 30,000
(Inalipwa kila tarehe ya mwisho wa mwezi)
Simu: 0659 951818
WhatsApp: wa.me/+255659951818
Tovuti: https://smtlite.com
Hakikisha usimamizi bora wa hisa, ufanisi wa biashara, na uongezaji wa faida kwa mfumo wetu wa Stock Control!